Tanzania
-

Tanzania opposition leader Tundu Lissu returns from exile
Lissu, who was shot 16 times in 2017 and has spent most of the years since in Belgium, arrived on a flight from Brussels via Addis Ababa
-

Tundu Lissu apokewa kwa kishindo nchini Tanzania
Lissu amerejea nchini baada ya kuwa uhamishoni kwa zaidi ya miaka 7
-

Mwili wa Mtanzania aliyefia Ukraine kurudishwa Tanzania kwa ajili ya maziko
Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, nchini Tanzania, Dk Stergomena Tax mtanzania huyo alikwenda nchini Urusi mwaka 2020 kwa ajili ya masomo ya shahada ya uzamili katika fani…
-

Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumbaka dada yeke.
Mkazi wa Kijiji cha Kising’a wilayani Kilolo, Frank Kigomba (31) amehukumiwa kwenda jela miaka 30 na kulipa fidia ya Shilingi 500,000 kwa kosa la kumbaka dada yake wa tumbo moja mwenye umri wa miaka 15.
-

Polisi mkoani Kagera yaua watu wawili wanaodhaniwa kuwa majambazi
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kagera, William Mwampaghale amesema tukio hilo limetokea Januari 21, 2023 saa 3:35 usiku katika maeneo ya Barabara ya Kumunazi kwenda Relenge, Wilaya ya Ngara.
-

Ahukumiwa mwaka mmoja jela kwa kosa la kumpiga mumewe na nyundo
Mwanamke mmoja huko Zambia amehukumiwa kifungo cha miezi 12 jela kwa kosa la kumpiga mumewe baada ya kukataa kumpa pesa za karo, vitabu na mahitaji mengine ya watoto.
-

Watu saba washikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji ya Hakimu nchini Tanzania.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga alisema jana kuwa mauaji hayo yalitokea Januari 20 mwaka huu katika Kijiji cha Kibole wilayani Rungwe mkoani humo.
-

Viongozi wa Serikali wadaiwa kuomba rushwa kupitisha posho za walimu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki amekemea vikali tabia ya baadhi viongozi kuomba rushwa ili kupitisha posho za madaraka kwa Walimu Wakuu.
-

Neema kwa wakulima wa chai wilaya ya Kilolo yatangazwa.
Waziri wa Kilimo nchini humo Hussein Bashe alisema serikali imetenga shilingi Milioni 300 zilizoanza kutumika kusafisha hekta 2,900 za mashamba ya kampuni ya Chai Kilolo zilizotelekezwa kwa miaka 34
-

Mtanzania afariki kwenye vurugu nchini Afrika Kusini
Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini umesema Mtanzania, Abilah Hussein Riziki amefariki dunia jijini Johannesburg katika vurugu.







