Tanzania
-

Raila Atoa Makataa Ya Siku 14 Kwa Serikali Ya Rais Ruto Kupunguza Gharama Ya Maisha nchini Kenya.
Odinga ambaye siku ya Jumatano Februari 22 aliandaa mkutano wa maombi katika bustani ya Jeevanjee jijini Nairobi alisema kuwa wakenya wamechoka na serikali ya Kenya Kwanza kutotimiza ahadi walizotoa katika kipindi cha kampeni.
-

Tanzania yaidhinisha kibali cha ujenzi wa bomba la mafuta la dola bilioni 3.5
Bomba hilo lenye urefu wa kilomita 1,443 (maili 900) litasafirisha mafuta ghafi kutoka kwenye maeneo makubwa ya mafuta yanayotengenezwa katika Ziwa Albert kaskazini-magharibi mwa Uganda hadi bandari ya Tanzania kwenye Bahari ya Hindi kwa ajili…
-

Tanzania yaidhinisha mradi wa bomba la mafuta wenye thamani ya dola bilioni 3.5
Bomba hilo lenye urefu wa kilomita 1,443 litasafirisha mafuta ghafi kutoka Ziwa Albert kaskazini magharibi mwa Uganda hadi bandari ya Tanzania
-

Mwili Wa Mchezaji Christian Atsu Watua Nchini Ghana,Wapokelewa Na Majeshi.
Atsu mwenye umri wa miaka 31,alipatikana ameaga dunia katika vifusi vya nyumba yake mjini Hatay Uturuki kufuatia tetemeko la ardhi lilotokea Februari 6 na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 4,000 huku maelfu ya wengine…
-

GST: Hakuna madhara yaliyoripotiwa kutokana na tetemeko la ardhi Dodoma.
Akizungumza leo na waandishi wa habari Mjiolojia Mwandamizi kutoka Taasisi ya Jiolojia na na Utafiti wa Madini Tanzania (GST), Gabriel Mbogoni alisema kuwa Februari 16, mwaka huu saa 12.13 jioni tetemeko lenye ukubwa wa Richert…
-

KUMBUKUMBU:Miaka miwili tangu kutokea kwa kifo cha Maalim Seif, gwiji wa siasa za Tanzania
Maalim Seif amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76, huku akiwa ametumikia nyadhfa mbalimbali Serikalini lakini hadi umauti unamfika alikuwa makamu wa kwanza wa rais wa SMZ kwa chini ya siku 100, akiwa sehemu…
-

Bilioni 7 kutumika kukarabati kivuko cha MV Magogoni
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema, ukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni ni juhudi na mikakati ya serikali katika kuboresha miundombinu mbalimbali ya usafirishaji nchini.
-

Mtuhumiwa wa mauaji adaiwa kujinyonga kwa kutumia nguo yake ya ndani akiwa mahabusu
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Ali Makame, akitoa ufafanuzi kuhusu kifo hicho jana, alidai kuwa mtuhumiwa alichukua uamuzi huo akiwa mikononi mwa polisi, akituhumiwa kuhusika na mauaji na kukodi watu kwa ajili ya kutekeleza…
-

Nyuki wakatisha uhai wa mwalimu mkoani Kigoma.
Tukio hilo limetokea Februari 13, 2023 katika eneo la mtaa wa Mwasenga, Manispaa ya Kigoma Ujiji, muda mfupi mara baada ya watoto waliokuwa wakitoka shule kurusha mawe juu ya mwembe huo na kusababisha nyuki kuzagaa…
-

Jezi za Simba zakwama Ethiopia
Akizungumza leo Februari 15, 2023 Ahmed Ally amesema jezi hizo zilianza kukwama nchini China hivyo zilifanyika juhudi za kusukuma mzigo huo ili kuachiwa kwa haraka na baada ya kuachiwa ukakwama tena Ethiopia.







