Tanzania
-

Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia wafunguliwa rasmi
Hafla ya ufunguzi wa ofisi hizo imefanywa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Stergomena Tax na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Tanzania na Namibia, wakiwemo Naibu Waziri…
-

Raia wa China mbaroni akidaiwa kuiba Saruji kwenye mradi wa SGR.
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu 11 akiwemo raia wa China, Meng Zhaon Ming (29) kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa saruji na mafuta aina ya Diesel katika mradi wa Reli ya Kisasa…
-

Tanzania president vows to restore ‘competitive politics’
Tanzania held its first multi-party elections in 1995 and the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party has won every election since
-

Rais Samia:Tuna dola za kututosha kutuhudumia miezi 4 tofauti na majirani zetu
Rais Samia ametoa kauli hiyo jana Jumatano, katika mkutano wa hadhara wa Siku ya Wanawake Duniani ulioandaliwa na chama kikuu cha upinzani kupitia baraza lake la wanawake wa CHADEMA, alisema nchi hiyo iko imara kiuchumi…
-

Rais Samia ahaidi mchakato wa Katiba kuanza hivi karibuni
Ametoa ahadi hiyo leo tarehe 8 Machi 2023, katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, yaliyofanyika mkoani Kilimanjaro, baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kumuomba marekebisho hayo yakamilike kabla 2025.
-

BAWACHA wampokea kwa shangwe Rais Samia kwenye maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
Maadhimisho hayo ambayo Bawacha wanafanya Kitaifa mjini Moshi katika Ukumbi wa Kuringe pia yamehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali, dini na vyama vya siasa.
-

Jaji Ngwembe ahimiza matumizi ya sayansi katika upelelezi
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Morogoro, Paul Ngwembe awasisitiza wadau wa Haki Jinai kuzingatia matumizi ya sayansi wakati wa upelelezi ili kuirahisishia Mahakama wakati wa kutafsiri sheria.
-

Tanzanian government bans boarding for young children
The directive was issued by the Education Commissioner of the ministry, Dr. Lyabwene Mtahabwa to education stakeholders in the country, saying that the implementation should start in March this year
-

Aliyekuwa Kocha Wa Harambee Stars Adel Amrouche Ateuliwa Kocha Wa Taifa Stars Ya Tanzania
Amrouche,58, amewai kuitia makali timu ya soka ya Burundi, Equatorial Guinea, Botswana, Libya na Yemen
-

Ahukumiwa kifugo cha maisha jela kwa kumnajisi mtoto wake wa kumzaa
Awali, kabla ya kutolewa kwa hukumu hiyo, mtoto huyo ambaye jina lake limehifadhiwa alieleza kuwa kila alipokuwa anakataa kufanyiwa kitendo hicho ,baba yake alikuwa anamng’ata na kumpiga sehemu za mwili wake na kumtishia.







