Tanzania
-

NHIF yapewa siku 14 kukamilisha maboresho ya huduma ya Toto Afya Kadi
Taarifa iliyotolewa hivi karibuni kutoka NHIF, ilieleza kuwa mfuko huo unafanya maboresho ya usajili na huduma kwa watoto waliokuwa wanasajiliwa kupitia utaratibu wa Bima ya Afya ya ‘Toto Afya Kadi’, na kutoweka bayana ni muda…
-

LHRC kwenda kwa Rais Samia sakata la mashekhe wanaokabiliwa na kesi ya ugaidi
Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Anna Henga, leo amewaambia wanahabari kwamba mashauri hayo ya ugaidi yamekwama kuendelea kwa zaidi ya miaka sita kutokana na Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), kutokamilisha upelelezi wake.
-

Mtu mmoja hufariki kwa ajali kila wiki jijini Mwanza nchini Tanzania
Upande wa pikipiki zimetokea ajali kubwa 30 kwa kipindi hicho cha Januari hadi Desemba, 2022 zilizosababisha vifo vya watu 25 na kujeruhi watu 26
-

Watu 4,000 wamefariki dunia kwa ajali za barabarani nchini Tanzania katika kipindi cha miaka mitatu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa takwimu hizo huku akielezea kuwa hazifurahishi
-

Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris kuzuru Afrika baadaye mwezi huu
Anapanga kuwa Ghana kuanzia Machi 26 hadi 29, kisha Tanzania kuanzia Machi 29 hadi 31. Kituo chake cha mwisho ni Zambia, Machi 31 na Aprili 1.
-

Serikali ya Tanzania kukusanya na kutumia trilioni 44.38 mwaka 2023/2024
Serikali ya Tanzania inatarajia kukusanya na kutumia shilingi trilioni 44.38 kwa mwaka 2023/2024 ikiwa ni ongezeko la asilimia 7.0 ya bajeti ya mwaka 2022/2023.
-

Rapa kutoka Afrika Kusini Costa Titch afariki baada ya kuanguka jukwaani
Costa Titch alitamba sana na “Big Flexa,” ambayo imetazamwa zaidi ya milioni 45 kwenye YouTube
-

CCM yawataka ACT Wazalendo kutotumia lugha za matusi wanapokosoa Serikali.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Zanzibar, Khamis Mbeto amesema hawatakubali kuona wanasiasa wanatumia majukwaa kueleza uongo na kupotosha umma kwa makusudi ili Serikali ichukiwe.
-

Adaiwa kumuua mkewe kisha kumfikia kwenye shimo lililosakafiwa na zege
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora Richard Abwao amesema tukio hilo la mauaji liligundulika machi 7 mwaka huu majira ya saa 9.30 aliasiri katika mtaa wa mbilani kata ya Kidongo…
-

Jaji Ngwembe:Watoto wasitumike kutoa ushahidi wa uongo
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Morogoro, Paul Ngwembe amekemea tabia ya baadhi ya wazazi na walezi wanaowatumia watoto kutoa ushahidi wa uongo mahakamani.







