Tanzania
-

Taifa Stars kuikabili The Cranes ya Uganda leo
Timu ya Taifa nchini Tanzania Taifa Stars inatarajiwa kushuka dimbani leo nchini Misri kuikabili The Cranes (Uganda) katika mchezo wa tatu wa Kundi F wa kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Africa (AFCON) mwaka 2023…
-

Watu 193 waliochangamana na wenye vurusi vya Murburg wawekwa karantini nchini Tanzania.
Mganga Mkuu wa Serikali nchini Tanzania, Dk Tumaini Nagu amesema wagonjwa watatu waliogundulika kuwa na virusi vya Marburg wanaendelea na matibabu na hali zao zinaendelea kuimarika na hakuna maambukizi ya watu wengine tangu kuliporipotiwa kuzuka…
-

Tanzania yaweka mikakati kudhibiti homa ya Marburg
Siku mbili baada ya kutangazwa kuibuka kwa ugonjwa wa Marburg nchini Tanzania Serikali ya nchi hiyo imetoa mwongozo kwa wasafiri kote kwa kuzingatia kanuni za kimataifa, huku ikiagiza utekelezaji wake uanze mara moja.
-

Miaka Miwili ya Rais Samia dhidi ya Wafugaji
Miaka Miwili ya Rais Samia Kwa Jamii ya kifugaji imekua ni kilio badala ya Furaha, tumenyanyaswa na kuumizwa na serikali yetu wenyewe
-

Kardinali Pengo azuru kaburi la JPM
Akizungumuza jana na waandishi wa habari akiwa ofisi ya Askofu wa Jimbo Katoliki la Geita, Kardinali Pengo alisema amefanya hivyo kwani hakupata fursa hiyo wakati wa mazishi ya Dk Magufuli.
-

Tanzania probes mystery illness after five die
The illness was detected in “a total of seven people (with) symptoms including fever, vomiting, bleeding in various body parts and kidney failure
-

Wasoma Mita za maji nchini Tanzania wawekwa kikaangoni
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amewaonya wasoma mita za maji nchini kuacha tabia ya kuwabambikia wananchi bili kubwa za maji kwani hatua hiyo inaichafua serikali jambo ambalo halitovumilika.
-

Rais Samia afanya teuzi nyingine
Aidha taarifa hiyo imeeleza kuwa viongozi wote walioteuliwa katika nafasi mpya watajulishwa tarehe ya kuapishwa.
-

Bob Junior: Simba ambaye alikuwa ‘mfalme’ wa Serengeti auawa na wapinzani
Serengeti kaskazini mwa Tanzania ni nyumbani kwa simba takriban 3,000, na ni maarufu kwa watalii wa ndani na nje ya nchi
-

Matumizi ya Kitimoto yapigwa marufuku huko Ludewa nchini Tanzania
Kwa mujibu wa taarifa ya Daktari wa Mifugo wa wilaya hiyo Festo Mkomba imesema kuwa hatua hiyo imefikiwa baada ya hivi karibuni kujitokeza baadhi ya matukio yanayosababishwa na ugonjwa huo hivyo kwa mujibu wa sheria…







