Tanzania
-

Mwili wa Membe kuzikwa Mei 16
Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe unatarajiwa kuhifadhiwa kwenye nyumba yake ya milele Mei 16, mwaka huu katika kijiji cha Londo mkoani Lindi.
-

Hafla maalum kumuaga IGP Sirro kesho
Taarifa iliyotolewa leo Mei 9, 2023 na msemaji wa jeshi hilo, David Misime imeeleza kuwa sherehe za kumuaga Siro zitafanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam (DPA) kilichopo Kurasini jijini Dar es…
-

Lissu afanikiwa kuliona gari aliloshambuliwa nalo kwa risasi ikiwa ni zaidi ya miaka mitano
Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu leo kwa mara ya kwanza amefanikiwa kuliona gari lake ambalo alishambuliwa nalo kwa risasi jijini Dodoma na watu wasiojulikana.
-

Waandishi wa habari 272 walipata madhila katika kipindi cha miaka 10 nchini Tanzania
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Kajubi Mukajanga katika kongamano la miaka 30 ya siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yenye kauli mbiu ‘Uhuru wa Kujieleza kama Kichocheo…
-

Wajawazito kupimwa vipimo vya awali bila malipo
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amewataka akina mama wajawazito wanaofika kwenye Kliniki za Uzazi, Mama na Mtoto kupimwa wingi wa damu, mkojo kuangalia wingi wa protini, shinikizo la damu pamoja na kusikiliza mapigo ya moyo…
-

Wachungaji wawili wa Kenya wamefikishwa mahakamani kuhusiana na mauaji ya kidini
Maswali yameibuka kuhusu jinsi mchungaji huyo mwenye historia ya itikadi kali ameweza kukwepa utekelezaji wa sheria licha ya wasifu wake maarufu
-

Kenya, Tanzania na Uganda zimezindua zabuni ya pamoja kwa ajili ya AFCON 2027
Serikali ya Kenya mwezi Disemba iliidhinisha pendekezo la baraza la mawaziri kuunga mkono ombi la mashindano hayo yanayofanyika kila baada ya miaka miwili, pamoja na majirani zake wawili
-

Mbowe kuongoza kongamano la DUA Afrika Kusini
Taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema imeeleza kuwa akiwa Afrika ya Kusini, Mbowe kama Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Vyama vya Demokrasia Afrika (DUA) ataongoza…
-

Tanzania yawasafirisha raia wake waishio nchini Sudan
Watanzania hao wamesafirishwa kwa njia ya basi kuelekea Ethiopia ambako watapanda ndege ya Air Tanzania kwa safari ya kurejea nchini.
-

Bunge lapitisha bajeti ya shilingi bilioni 54 ya Ofisi ya Makamu wa Rais
Katika bajeti hiyo, shilingi Bilioni 14.7 ni ya Makamu wa Rais ambapo ni matumizi ya kawaida, shilingi Bilioni 1.2 kwa ajili ya mishahara na shilingi Bilioni 13.4 ni kwa ajili ya matumizi mengine.







