Tanzania
-

Sheria ya kupinga ushoga sasa ni rasmi nchini Uganda
Rais wa Uganda Yoweri Museveni leo amesaini Muswada wa Sheria wenye utata dhidi ya mashoga, ofisi yake na bunge la nchi hiyo zilisema, ikianzisha hatua kali dhidi ya ushoga ambazo zimetajwa kuwa miongoni mwa sheria…
-

#TANZANIA: Barabara ya Nyerere ya Dar es Salaam kufungwa kwa miezi mitatu
Barabara hiyo itafungwa kuanzia Mei 28, na itafunguliwa tena Septemba 30, 2023, ujenzi utakapokamilika
-

Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji michuano ya AFCON
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na Kenya na Uganda kupitia Pamoja Bid wamedhamiria kuwa mwenyeji wa michuano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (African Cup of Nations) 2027.
-

Wanachama wa CUF wazidi kutimka
Aliyekuwa Mwenyekiiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Wananchi CUF ambaye pia aliwahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum katika Bunge la la 10, Kiza Mayeye amejiondoa kwenye Chama hicho na kujiunga na Chama cha…
-

Museveni akaribisha ombi la AFCON kwa Afrika Mashariki
Nchi hizo tatu za Afrika Mashariki ziliungana na mpango uliopewa jina la EA ‘Pamoja’ zabuni ya AFCON 2027
-

Tanzania yajidhatiti kujenga Satelaiti yake
Endapo mpango huo utakuwa dhahiri, Tanzania itakuwa miongoni mwa nchi za Afrika zilizofanikiwa kupeleka kifaa hicho angani, ambazo ni Algeria, Ethiopia, Kenya, Zimbabwe, Afrika Kusini, Morocco, Misri, Ghana na Nigeria, huku Rwanda ikikusudia kufanya hivyo…
-

Ugonjwa wa Shinikizo la Juu la Damu Umeongezeka Kwa 95.4%
Waziri wa Afya nchini Tanzania Ummy Mwalimu amesema takwimu hizi zinaonesha kwamba wagonjwa hao wenye shinikizo la damu wameonekana kuongezeka takribani mara mbili zaidi kwa kipindi cha miaka mitano.
-

Tanzanian traders strike over high taxes in rare protest
Kariakoo, a massive market located in Dar es Salaam is Tanzania’s busiest market
-

Sudan becomes battleground for foreign fighters
For the past month, Sudan has been rocked by deadly battles between de facto leader Burhan and his former deputy, RSF commander Mohamed Hamdan Daglo, also known as Hemeti.
-

Prof: Nyagori: Membe amefariki kwa maradhi ya kawaida.
Taarifa hiyo ya daktari inakuja kipindi ambacho kumekuwepo na taarifa za uvumi katika mitandao ya kijamii kuhusu chanzo cha kifo chake.







