Tanzania
-

Simbachawene atetea hoja kuhusu kinga kwa maafisa wa Idara ya Usalama wa Taifa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Simbachawene amesema kinga inayokusudiwa kuwekwa kwa maafisa wa Idara ya Usalama wa Taifa itatumika tu endapo walikuwa wakitekeleza majukumu yao…
-

TLS yatia mguu sakata la Bandari
Baraza la Uongozi la Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) limeunda kamati maalum ya wataalamu kuchambua makubalino yaliyoainishwa katika mkataba wa uendeshaji bandari ya Dar es Salaam kati ya serikali ya Tanzania na Kampuni ya Dubai…
-

Mtoto wa Trump avutiwa na vivutio vya utalii nchini Tanzania
Donald Trump Jr ambaye ni mtoto mkubwa wa kiume wa Rais Mstaafu wa Marekani, Donald Trump, yupo nchini Tanzania kutembelea maeneo mbalimbali huku kueleza kuvutiwa na vivutio vya utalii vilivyopo nchini.
-

UN Ripoti: Watu bilioni 2.3 wanategemea nishati chafu kupikia
Ripoti hiyo ya toleo la mwaka 2022 “Ufuatiliaji wa SDG 7: Ripoti ya Maendeleo ya Nishati” inaonyesha kuwa athari za janga hili, ikiwa ni pamoja na mashariti ya kufungwa kila kitu, kuathirika kwa minyororo ya…
-

Tanzania to enter into an agreement with DP World for the development of Dar es Salaam port
The port of Dar es Salaam is the main commercial gateway of Tanzania. Approximately 95 percent of Tanzania’s international trade is served by this port.
-

Watuhumiwa wa ubakaji wa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Iringa wadakwa
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limewakamata watuhumiwa watano wa unyang’anyi kwa kutumia silaha ambao kati yao wawili wametambuliwa kuhusika katika tukio la ubakaji alilofanyiwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa (jina linahifadhiwa) wakati wakifanya…
-

Amnesty International :Polisi walitumia nguvu zaidi kuwaondoa wamaasai Loliondo
Ripoti ya shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International imeituhumu mamlaka nchini Tanzania kwa kutumia nguvu kupita kiasi pamoja na kuwazuilia jamii ya wamaasai wakati wakiwatimua katika eneo la Loliondo.
-

Dkt Mollel:Asilimia 70 ya mapato ya vituo vya afya inategemea NHIF
Naibu Waziri wa Afya nchini Tanzania Dkt. Godwin Mollel amesema , asilimia 70 ya Mapato ya vituo vya huduma za Afya vya Serikali pamoja na binafsi vinategemea Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)…
-

Mbowe, Lissu, Mnyika kuelekea Italia kwa ziara ya kikazi
Taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema imeeleza kuwa katika safari hiyo, Mbowe ameambatana na viongozi wengine wawili wa chama hicho, ambao ni Makamu Mwenyekiti Bara,…
-

Al-Shabaab waliwaua wanajeshi 54 wa Uganda nchini Somalia, anasema Museveni
Kundi hilo lenye silaha lilidai kuwa lilifanya mashambulizi ya bomu la kujitoa mhanga mnamo Mei 26 na kuua wanajeshi 137







