Tanzania
-

Kenya’s Volleyball Team Wins Division Round Match in Berlin against Tanzania
At the beginning of the match, Tanzania was leading with 2 points lead, Kenya 10 and Tanzania 12.
-

Tanzania, Kenya, Uganda and Rwanda read their budgets for the 2023/2024 financial year
East African Community (EAC) countries have read their budgets for the financial year 2023 to 2024
-

Viongozi wa makanisa nchini Tanzania wakamatwa kwa kuwaweka wagonjwa kizuizini
Kanisa hilo linasemekana kuwa limekuwa likifanya kazi kwa zaidi ya miaka mitano
-

CHADEMA yasusia uchaguzi mdogo madiwani, yaitaka Serikali kuheshimu uamuzi wa Mahakama ya Afrika
Katika taarifa iliyotolewa na CHADEMA imeeleza sababu za kutoshiriki uchaguzi huo ambapo imesema uchaguzi huo utasimimamiwa na Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya jambo ambalo ni kinyume na uamuzi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za…
-

BMH yapandikiza uume kwa mara ya kwanza nchini Tanzania
Kiongozi wa chama cha madaktari bingwa wa upasuaji wa mfumo wa mkojo (TAUS) Dk Lyuba Nyamsogoro amesema kuwa wamefikia hatua hiyo kutokana na uwepo wa watu wengi wenye matatizo ya nguvu za kiume nchini na…
-

Mwili wa Mwanzilishi wa Precision Air kuzikwa leo
Mzee Ngaleku alifariki usiku wa Juni 9, mwaka huu katika Hospitali ya Aghakan, Dar es salama alikokuwa amelezwa Juni 8
-

Wabunge wataka siku za likizo kuongezwa kwa wanaojifungua watoto njiti.
Serikali imewataka Wabunge kutoa maoni endapo kuna haja ya kurekebisha Kanuni za Utumishi wa Umma kuhusu likizo kwa wanawake wanaojifungua watoto njiti ili wapate muda wa kutosha wa kulea watoto hao wanaohitaji uangalizi wa karibu.
-

NEC yatangaza uchaguzi mdogo katika kata 14 nchini Tanzania.
Mkurugenzi wa tume hiyo bwana Ramadhani Kailima ametoa taarifa hiyo leo na kwamba uchaguzi huo unafanyika baada ya kupokea taarifa kutoka kwa waziri mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa.
-

Mwandishi nguri wa habari nchini Tanzania Leila Sheikh kuzikwa leo jijini Tanga
Leila ambaye atazikwa leo katika makaburi ya Sharif Haidari na swala itafanyika katika msikiti mkuu wa Ijumaa jijini Tanga.aliwahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji na miongoni mwa waanzilishi wa Chama cha Waandishi Habari Wanawake Tanzania, TAMWA, kuanzia…
-

Tanzania yasaini hati ya makubaliano na UN- HABITAT kuanzisha ofisi nchini
Makubaliano mengine ni kusaidia matumizi jadidifu ya nishati katika majengo, kupitia na kuandaa sera mpya ya miji, kuanzisha kituo cha taarifa ya makazi pamoja na kuboresha mifumo ya kitaasisi na uendelezaji miji midogo.







