Tanzania
-

Relief for Tanzanians as fuel prices drop- EWURA
Oil traders have been warned to observe the price limit
-

Tanzania receives budget support of 179.35 million euros from the EU
The third agreement signed is to strengthen relations between the European Union and Tanzania to increase efficiency in designing and managing projects funded by the European Union
-

Tanzania yasaini mikataba minne ya ujenzi wa miuondombinu ya barabara
Tanzania leo imesaini mikataba minne ya ujenzi wa miundombinu ya Usafiri wa Haraka wa Mabasi (BRT) awamu ya nne kwa mkoa wa Dar es Salaam na mkataba mmoja wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha…
-

Mwanafunzi wa kidato cha tano aliyepotea apatikana
Mapema hii leo, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera alitangaza dau la shilingi Milioni tano kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwa mwanafunzi huyo.
-

Hekta 74,432 za hifadhi ya Taifa ya Ruaha kurejeshwa kwa wananchi
Serikali imesema itarejesha hekta 74,432 kwa wananchi wa Mbarali zilizokuwa eneo la hifadhi ya Taifa ya Ruaha, baada ya hatua ya wananchi kuziomba kushindikana kwa takribani miaka saba.
-

Ananilea Nkya- The woman who fought for gender equality and justice in Tanzania
Dr. Ananilea Nkya is described as one of the leading, and most outspoken, feminists in Tanzania
-

Wamteka mtoto wa miaka 9 ili walipwe milioni 50
Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi, Kaster Ngonyani amesema watuhumiwa hao ni Joseph John(24) Yusuph Sadick (27) wakazi wa Mtaa wa Milupwa, Abrahamu Kassim (28) Mkazi wa Mtaa wa Misunkumilo Manispaa ya Mpanda…
-

Bashe:Serikali haijazuia watu kuuza mazao nje ya nchi
Waziri wa Kilimo nchini Tanzania, Hussein Bashe amesema Serikali haijazuia watu kufanya biashara ya kuuza mazao nje ya nchi, badala yake kilichozuiwa ni watu kufanya biashara bila kufuata utaratibu wa kisheria.
-

Watiwa mbaroni wakiwa na kilo 60 za bangi
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Janeth Magomi amesema watuhumiwa hao na vitu hivyo vimekamatwa kwa kipindi cha mwezi mmoja kuanzia tarehe 28/05/2023 hadi tarehe 21/06/2023 kupitia misako na doria mbalimbali.
-

TANZANIA: Police arrest demonstrators against DP World agreement
On June 10, the Parliament of the United Republic of Tanzania passed a resolution on the proposal to ratify the agreement between the Government of Tanzania and the Government of Dubai (DP World)







