Tanzania
-

Ajali yaua ndugu wanne mkoani Pwani
Kamanda ya Polisi wa mkoa wa Pwani, Pius Lutumo amesema ajali hiyo imetokea majira ya saa nane usiku wa kuamkia hii leo na kuongeza kuwa watu wote waliofariki dunia walikuwa ndani ya Prado
-

Kibano wauza Sukari zaidi ya 3200
Waziri wa Viwanda na Biashara nchini Tanzania, Dkt Ashatu Kijaji amewataka Maafisa Biashara wote nchini humo kukagua bei ya Sukari duka kwa duka na atakae kutwa na bei zaidi ya shilingi 3,200 achukuliwe hatua za…
-

Miili 14 waliozama ziwa Victoria yaopolewa yote
Shughuli ya uokozi katika ajali ya boti mbili zilizozama ndani ya Ziwa Victoria na kusababisha vifo vya watu 14 wilayani Bunda imekamilika baada ya miili yote kuopolewa.
-

Uhaba wa Dola za Kimarekani ulivyotikisa bei za mafuta nchini Tanzania, vilio kila kona.
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini Tanzania (Ewura) imetangaza bei ya ukomo kwa mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa huku kukiwa na kilio cha ongezeko katika mafuta ya petroli…
-

Wakili Madeleka akosa dhamana, mawakili wake wapanga kukata rufaa.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, imetupilia mbali ombi la dhamana ya Wakili maarufu nchini Tanzania, Peter Madeleka lililoombwa mahakamani hapo jana na jopo la mawakili watano wanaomtetea.
-

Watu 14 wahofiwa kufa maji baada ya mitumbwi kuzama mkoani Mara
Habari kutoka mkoani Mara zinaeleza kuwa mitumbwi hiyo miwili ilikuwa ikifuatana na ndipo upepo mkali ulipoanza na kusababisha mtumbwi mmoja kuzama na kusababisha mtumbwi mwingine kurudi nyuma Ili kuokoa na ndipo ilipozama yote.
-

Rais Ruto akutana na Rais Samia nchini Tanzania huku kukiwa na madai kwamba alimpuuza jijini Nairobi
Ziara ya Ruto inajiri siku chache baada ya rais wa Tanzania kufichua kuwa baadhi ya wawekezaji walipiga kambi katika nchi hiyo jirani kutokana na kukosekana kwa utulivu wa kisiasa nchini Kenya.
-

Raila: Rais Samia Suluhu alikuja Kenya ili kupatanisha mimi na Ruto lakini yote yaliambulia patupu!
Raila aliviambia vyombo vya habari kuwa Rais Ruto, aliyeanzisha mkutano huo, aliwafanya wasubiri na hakuonekana katika mkutano huo licha ya juhudi za Mkuu wa Nchi ya Tanzania, Samia Suluhu.
-

Mdude agoma kutoa simu kwa ajili ya uchunguzi polisi, ataka zichukuliwe kwa amri ya Mahakama.
Mwanaharakati na kada wa CHADEMA Mdude Nyagali ameijibu barua ya Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai mkoani Mbeya, iliyomtaka kukabidhi simu zake na vifaa vingine vya kielektroniki kwa ajili ya kufanyia uchunguzi kuhusiana na…
-

Wakili wa kujitegemea Peter Madeleka ashikiliwa na Polisi Arusha.
Madeleka kabla ya kukamatwa alilazimika kung’ang’ania kwa zaidi ya Dakika 30 katika chumba cha Mahakama (chember court) cha Jaji Aisha Bade ambaye awali ndiye alitoa maamuzi katika kesi yake ya kupinga makubaliano ya kukiri kosa.







