Tanzania
-

Polisi nchini Tanzania wakabiliana na wakosoaji wa mkataba tata wa bandari huku idadi ya waliokamatwa ikiongezeka
Hadi sasa zaidi ya watu watatu wametajwa kukamatwa akiwemo Dk Willibrod Slaa, aliyewa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden na mwanansiasa maarufu nchini humo na mmoja wa wakosoaji kinara wa makubaliano ya uwekezaji wa bandari…
-

Miaka 30 jela kwa kumlawiti mwanafunzi wa kidato cha pili mkoani Katavi.
Hukumu hiyo imetolewa Agosti 9,2023 na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Katavi, Gway Sumaye, ambapo mbali na adhabu hiyo, wawili hao wanatakiwa kumlipa muathirika wa tukio hilo shilingi milioni mbili …
-

JK, Kinana wambana Kubenea, wamtaka kuomba radhi kwa kuwachafua kwenye gazeti lake.
Viongozi hao pia wamemtaka Kubenea kutoa kiapo cha kisheria, kwamba yeye na gazeti analolihariri wanaahidi kuacha kuwakashifu, kutoa namna yoyote ya lugha isiyofaa, maneno ya uongo, kero au uchafuzi dhidi yao, na endapo wakishindwa hatua…
-

Mahakama yahalalisha mkataba wa bandari, walalamikaji kupinga uamuzi huo mahakama ya rufaa.
Uamuzi huo umesomwa na jopo la majaji watatu likiongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru, akishirikiana na majaji Mustafa Ismail na Abdi Kagomba.
-

Ocean Road waanza kutoa huduma ya urekebishaji wa mfumo wa nyongo iliyoziba pasipo upasuaji
Huduma hiyo mpya imeanza kutolewa hivi karibuni na Wataalam wa Radiolojia tiba wakiongozwa na daktari bingwa na mbobezi wa radiolojia tiba Dkt. Latifa Rajab kutoka Taasisi ya Saratani Ocean Road baada ya daktari huyo kurejea…
-

Kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini inayowakabili Maafisa saba wa polisi yaanza kusikilizwa
Maofisa hao wamepanda kizimbani leo Agosti 9 kusikiliza shauri la kesi hiyo wakidaiwa kutenda mauaji ya Mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamis (25) mkazi wa Nachingwea mkoani Mtwara.
-

Tanzania yasaini mkopo wa shilingi bilioni 70 Abu Dhabi
Tanzania imetia saini mkopo wenye masharti nafuu wa shilngi bilioni 69.9 (dola milioni 30) na Mfuko wa Maendeleo wa Adu Dhabi kwa ajili ya ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Benaco hadi Kyaka mkoani…
-

LHRC, TAS waitaka Klabu ya Simba kuomba radhi kwa udhalilishaji dhidi ya wenye ualbino.
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC), kwa kushirikiana na Chama cha Watu wenye Ualbino Tanzania (TAS), kimelaani vikali kitendo kilichotokea Agosti 6, 2023 katika siku ya Simba Day, kinachohusisha matumizi ya mtu mwenye ualbino…
-

Jaji Maghimbi agomea muungano wa TWIGA cement, Tanga Cement, asema Chalinze Cement Wasikilizwe
Jaji Maghimbi alisema ameshangazwa na mwenendo wa FCC ambayo imepewa jukumu la kusimamia ushindani katika uchumi kwa manufaa ya mlaji, kupora mamlaka ya Mahakama katika uhakiki kwa kuendelea kubaini ni nini [Mahakama. ] tayari ilikuwa…
-

HRW yaitaka Tanzania kuacha kuwakandamiza wakosoaji mkataba wa bandari
Katia ripoti yake iliyotolewa leo HRW imesema mamlaka ya Tanzania hadi sasa imewashikilia au kuwatishia takriban watu 22 tangu Juni 10, 2023, wakiwemo waandamanaji, baada ya kukosoa Bunge la Tanzania kuridhia kwa makubaliano ya usimamizi…







