Tanzania
-

Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la unajisi na kumwingilia kinyume na maumbile binti wa miaka 9
Mahakama ya Hakimu mkazi Mbeya imemhukumu kifungo cha maisha jela Ezekia Mwaitoto Msawile (45) mkazi wa Ilemi jijini Mbeya baada ya kupatikana na hatia ya makosa mawili ya unajisi na kumwingilia kinyume cha maumbile mtoto…
-

Tanzania kuendesha kampeni ya chanjo ya Polio kwa mikoa sita inayopakana na Zambia na Burundi.
Tanzania inajiandaa kufanya kampeni ya utoaji wa chanjo ya Polio Virus 2 (CVDPV2) katika Mikoa 6 inayopakana na nchi za Zambia na Burundi ambapo zoezi hilo limepangwa kufanyika mwezi Septemba na Novemba Mwaka huu 2023…
-

Pangapangua ya Rais Samia, wapo walioondolewa wengine tumbo joto.
Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu leo Agosti 30, 2023 imebainisha kuwa Rais Samia amefuta Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi na badala yake ameunda wizara mpya mbili ambazo ni Wizara ya Ujenzi na Wizara…
-

14 kizimbani kwa tuhuma za utakatishaji fedha zaidi shilingi milioni 350.
Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa Takukuru Mkoani Mbeya imewafikisha mahakamani watu 14 wakiwemo watumishi wa Halmashauri mbalimbali mkoani humo wakituhumiwa kwa makosa 16 ikiwemo kuendesha genge la uhalifu na utakatishaji wa fedha zaidi…
-

Takukuru yawashikilia 40 kwa tuhuma za wizi wa milioni 450 kwa kutumia mifumo feki ya tehama
Kukamatwa kwa watu hao kumekuja siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaja ubadhilifu wa fedha mkoani Mbeya
-

Ubalozi wa Tanzania nchini India watoa ufafanuzi kuhusu Mtanzania aliyedai kufukuzwa ubalozini.
Ubalozi huo umetoa ufafanuzi ikiwa ni siku mbili tangu taarifa hizo zilizodai Sayuni aliyedaiwa kunyanyang’anywa hati ya kusafiria na mwenyeji wake kuwa alikosa huduma ubalozini hapo na kumtaka arudi ajaze maombi hayo kwa njia ya…
-

JWTZ yawaonya wanaotumia sare zao, wataka wajisalimishe.
Kaimu Mkurugenzi wa habari na uhusiano Makao Makuu ya Jeshi (JWTZ) Luteni Kanali Gaudentius Ilonda ametoa kauli hiyo Leo Jijini Dodoma mbele ya wanahabari, ambapo amesema katazo hilo la mavazi ni kwa mujibu wa kifungu…
-

Mbunge wa Ngorongoro ashangazwa Polisi kumkamata bila kibali cha Spika
Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Ole Shangai (CCM),ameshangazwa na hatua ya polisi kumkamata bila kibali cha Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, kama ambavyo taratibu za ukamatwaji zinapaswa kufanywa kwa wabunge kutokana na kinga ya bunge…
-

Rights groups urge Tanzania to free critics of UAE port deal
Critics of the deal say it poses a threat to Tanzanian sovereignty and security, but the government has defended the accord, arguing that it will improve efficiency, cut costs and increase revenues
-

Awanywesha sumu watoto wa mume wake kisa pesa ya mtumizi
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao amesema tukio hilo limetokea Agosti 12, 2023 saa tatu usiku katika kijiji na kata ya Itobo Wilaya ya Nzega ambapo watoto hao walikorogewa sumu na mama huyo…







