Tanzania
-

Tanzania declares end of deadly Marburg virus outbreak: WHO
The last confirmed case tested negative on April 19, setting off the 42-day mandatory countdown to declare the end of the outbreak
-

SERIKALI:Hakuna Marburg Tanzania
Katika kilele cha mapambano dhidi ya ugonjwa wa Marburg nchini Tanzania serikali ya nchi hiyo kupitia mganga mkuu wa serikali imesema mpaka kufikia mei 31 imekuwa na jumla ya wagonjwa 9 tu.
-

TUME:Hakuna uhusiano wa kifo cha Nusura na ajali ya Naibu Waziri
Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu ametoa taarifa hiyo leo ambapo amesema walitembelea mikoa ya Dodoma, Singida na Kilimanjaro na kwamba matokeo yanaonyesha kuwa kifo cha Nusura kilisababishwa na shambulio kali la kupanda…
-

42nd Meeting of the Sectoral Council on Trade, Industry, Finance and Investment underway in Tanzania
The 42nd Meeting of the Sectoral Council of Ministers on Trade, Industry, Finance and Investment (SCTIFI) is currently underway at the EAC Headquarters in Arusha, Tanzania. The five-day SCTIFI meeting started with the Session of Senior…
-

Rais Samia kupokea ndege mpya ya mizigo aina ya Boeing 737-300F
Rais Samia Suluhu anatarajiwa kuipokea ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 737 – 300F itakayowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) siku ya Jumamosi Juni 3, 2023.
-

Serikali ya Zanzibar yatangaza rasmi umiliki wa Shamba la Razaba huko Bagamoyo, yatoa onyo kwa wenye kutaka kujimilikisha
Taarifa iliyotolewa na serikali ya Zanzibar, kupitia kwa msemaji wake, Charles Hilary, imeeleza kuwa shamba hilo ni mali ya serikali na haitambui mtu yoyote aliyemilikishwa; au kujimilikisha eneo hilo.
-

Majaliwa awataka Watanzania kuiombea Yanga irudi na ushindi
Akizungumza leo bungeni Jijini Dodoma Majaliwa amesema ni wakati wa Watanzania wote kuungana ili kuandika historia kwa pamoja na hana shaka na uwezo wa Yanga, na anaamini timu hiyo itaipeperusha vyema bendera ya Tanzania
-

WHO:Watu milioni 8 hupoteza maisha kila mwaka kutokana na tumbaku
Ikiwa leo ni siku ya kupinga matumizi ya tumbaku duniani shirika la Umoja wa Mataifa la afya duniani WHO, limezitaka nchi kuacha kutoa ruzuku kwa kilimo cha tumbaku na badala yake kuunga mkono na kusaidia…
-

Ukata kusababisha WFP Tanzania kupunguza mgao wa chakula kwa wakimbizi
Zaidi ya wakimbizi 200,000 walioko nchini Tanzania wataanza kupokea nusu mgao wa chakula wanachopatiwa kutokana na ukata unaokabili shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula duniani, WFP. Asilimia 70 ya wakimbizi hao wanatoka…
-

Ahukumiwa miaka saba jela kwa kumuambukiza Ukimwi kwa makusudi mtoto wake wakufikia
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Mara imemuhukumu kwenda jela miaka saba Msirari Muhere (60) mkazi wa Wilaya ya Tarime baada ya kupatikana na hatia ya kumuambukiza ugonjwa wa Ukimwi mtoto wa miaka sita kwa makusudi.…







