Tanzania
-

Mbunge wa CCM aishauri Serikali kuongeza bei ya mafuta Dar
Mbunge wa jimbo la Ukonga mkoani Dar es Salaam, Jerry Silaa ameishauri Serikali iweke tozo ya shilingi 100 kwenye kila lita ya mafuta yanayonunuliwa mkoani Dar es Salaam, ili kupata pesa za kujenga barabara za…
-

‘Mbakaji wa Facebook’ Thabo Bester afikishwa katika mahakama ya Afrika Kusini
Bester na wenzake walikamatwa nchini Tanzania wakiwa na hati kadhaa za kusafiria.
-

Serikali kuweka mfumo mpya mikopo ya asilimia 10
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amezielekeza Halmashauri zote nchini humo kusitisha utoaji wa fedha za mikopo kwa makundi maalum ya vijana, wanawake na wenye ulemavu kuanzia Aprili hadi Juni, 2023 wakati Serikali inajipanga kuweka…
-

Shocking prison break fugitive Thabo Bester returned to S. Africa
Bester had been arrested by Tanzanian authorities on Friday night along with a woman, a Mozambican national with whom he is reportedly romantically involved
-

LATRA yataka madereva wa “school bus” wasajiliwe kudhibiti ukatili wa kijinsia
Hatua hiyo imekuja baada ya kuwepo kwa matukio ya kuwafanyia vitendo vya ukatili na ukiukwaji wa maadili na udhalilishaji kwa wanafunzi unaofanywa kwenye mabasi ya shule.
-

Waliofutiwa matokeo kidato cha nne kurudia mtihani mwezi Mei
Waziri wa Elimu, Profesa Adolf Mkenda amesema kuwa ruhusa hiyo ni kwa wanafunzi wote waliofutiwa matokeo wakiwemo wanafunzi wanne waliofutiwa kwa kuandika matusi.
-

Bei ya mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa yapungua nchini Tanzania
Taarifa ya Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Dk James Mwainyekule imeeleza kuwa bei za rejareja za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa yaliyopokelewa kupitia Bandari ya Dar es Salaam zimepungua kwa shilingi 187 kwa…
-

Kwa nini kuna ucheleweshaji wa njia ya umeme ya Kenya-Tanzania?
AfDB inasema Ketraco bado haijalipa familia zilizoathiriwa Sh64.719 milioni ili kuandaa njia ya kukamilika kwa laini hiyo kwa upande wa Kenya
-

Kamala Harris awasili Tanzania kuanza ziara yake ya siku tatu.
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris amewasili Dar es Salaam nchini Tanzania usiku wa Jumatano kwa ziara yake rasmi ya kiserikali ya siku tatu nchini humo
-

#TANZANIA: Sheikh Ponda Apingwa Vikali Na Mahakama
Hii ni baada ya Sheikh Ponda kutoa taarifa kupitia ukurasa wa Twitter ikisema “22.03.2023 Jaji Mfawidhi alitembelea Mahabusu wa Ugaidi Arusha na kuwaambia kesi zao zimekwama kwa sababu Mahakama haijapewa Bajeti”







