Tanzania
-

Brazil patrols government buildings retaken from rioting Bolsonaro supporters
Newly inaugurated President Luiz Inacio Lula da Silva, the veteran leftist who narrowly won Brazil’s bitter, divisive October elections, condemned the invasions as a “fascist” attack.
-

Mahakama yapanga kusikiliza rufaa ya Sabaya na wenzake Januari 17.
Rufaa hiyo namba 155/2022, inapinga hukumu kesi ya uhujumu uchumi iliyowaachia huru Ole Sabaya na wenzake ambao ni pamoja na Enock Mnkeni, John Aweyo, Sylvester Nyegu, Jackson Macha na Nathan Msuya.
-

Kevin McCarthy apoteza kura ya 11 ya uspika Marekani, Je atashinda nafasi hiyo?
Kundi la wabunge 20 wenye msimamo mkali wa chama chake cha Republican wamekataa kumpa McCarthy kura 218 zinazohitijaka kumfanya spika wa bunge hilo.
-

Ajali yaua watu watatu Tanga
Watu watatu wamefariki usiku wa kuamkia leo Ijumaa Januari 6,2023, baada ya lori lililokuwa limebeba gesi kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso.
-

Chadema:Mazungumzo ya maridhiano yaendelee.
Taarifa iliyotolewa leo Januari 6, 2023 na chama hicho na kusainiwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itifaki na Mambo ya Nje, John Mrema imesema maazimio hayo yanatokana na Kamati kuu iliyoketi Januari 5, mwaka huu.
-

BoT:Kuna ongezeko la udanganyifu wa miamala ya kifedha
BoT imesema matukio mengi ya taarifa hizo yanahusisha kiasi kikubwa cha pesa kinachodaiwa kuletwa kwa ajili ya ufadhili wa mradi au matumizi binafsi.
-

Mauaji ya Mwanaharakati wa LGBTQ Kenya Yalaaniwa na watetezi wa haki za kibinadamu
Mwili wa marehemu uligunduliwa baada ya wahudumu wa bodaboda, kushuhudia gari likitupa sanduku kuukuu la chuma kando ya njia.
-

Mauzo ya nyama nje ya nchi yaongezeka
Msajili wa Bodi ya Nyama nchini Tanzania (TMB), Dk Daniel Mushi amesema mauzo ya nyama nje ya nchi hiyo kwa kipindi cha Julai hadi Desemba 15 mwaka jana yalifikia tani 5,158.93, sawa na ongezeko la…
-

More political storms for TikTok after US government ban
TikTok is the equivalent of “digital fentanyl,”, one of the leading voices in Congress against China, comparing the app to the deadly opioid.
-

Tanzanian president lifts ban on opposition political rallies
Hassan has been under pressure to break with the hardline policies of John Magufuli, who died in 2021 after six years of heavy-handed rule in a country once seen as a democratic beacon in East…







