Wagombea wawili wanaowania kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza kuamuliwa
Matokeo yatatangazwa Septemba 5. Kura ya Jumanne inamaanisha Uingereza huenda ikapata waziri mkuu wake wa kwanza mwenye asili ya Asia au kiongozi wa tatu mwanamke katika historia yake.