UN inasema watu milioni tisa wanahitaji msaada nchini Sudan Kusini
Mapigano yamepamba moto upya katika taifa hilo licha ya ahadi ya Rais Salva Kiir na Makamu wa Rais Riek Machar, kujitahidi kutekeleza vifungu muhimu vya mapatano ya amani
Mapigano yamepamba moto upya katika taifa hilo licha ya ahadi ya Rais Salva Kiir na Makamu wa Rais Riek Machar, kujitahidi kutekeleza vifungu muhimu vya mapatano ya amani
Taifa hilo jipya zaidi duniani limekumbwa na misukosuko tangu lilipopata uhuru mwaka 2011
Zaidi ya watu 700 waliuawa na wengine kubakwa na kutekwa nyara huko Jonglei kati ya Januari na Agosti 2020