#KENYA: Nahodha wa zamani wa kandanda, Victor Wanyama kurejea katika timu ya taifa
Kiungo huyo wa zamani wa Tottenham mwenye umri wa miaka 31 alisema ameamua kurejea Harambee Stars baada ya kukutana na Waziri wa Michezo wa Kenya Ababu Namwamba

kuna ndugu kutoka Afrika wanaocheza soka katika mataifa tofauti barani Afrika na kimataifa.