Umoja wa Afrika walaani mashambulizi ya Urusi dhidi ya Ukraine
Mwenyekiti wa sasa wa muungano huo, Rais wa Senegal Macky Sall amesema ‘ana wasiwasi mkubwa’ na uvamizi huo.
Mwenyekiti wa sasa wa muungano huo, Rais wa Senegal Macky Sall amesema ‘ana wasiwasi mkubwa’ na uvamizi huo.
Ukraine imepata hasara kubwa katika mzozo wake wa miaka minane na waasi wanaoungwa mkono na Urusi katika eneo la mashariki linalotaka kujitenga