“Ushindi utakuwa wetu” Zelensky asema, siku 100 baada ya uvamizi wa Urusi
Katika siku ya 100 ya uvamizi wa Urusi, mapigano yanaendelea katika eneo la mashariki, ambapo vikosi vya Moscow vinaimarisha udhibiti wake katika eneo la Donbas la Ukraine.

Zelensky alitoa wito wa mazungumzo ya moja kwa moja na kiongozi wa Urusi Vladimir Putin, akisema “ndio njia pekee ya kukomesha vita hivi”.