Ruto, Zelenskyy wajadili uundaji wa vitovu vya nafaka barani Afrika
Viongozi hao wawili walikubaliana kukuza kile Zelenskyy alichoita ‘Mpango wa Nafaka Kutoka Ukraine’ katika mazungumzo ya simu
Viongozi hao wawili walikubaliana kukuza kile Zelenskyy alichoita ‘Mpango wa Nafaka Kutoka Ukraine’ katika mazungumzo ya simu
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ameomba kuhutubia Umoja wa Afrika, Rais wa Senegal Macky Sall alisema Jumatatu. Sall, mwenyekiti wa…