Tunachojua kuhusu ajali ya ndege iliyoripotiwa kumuua Yevgeny Prigozhin
Uasi wa muda mfupi wa Yevgeny Prigozhin ulionekana kuwa changamoto kubwa zaidi kwa mamlaka ya Rais wa Urusi Vladimir Putin tangu aingie madarakani
Uasi wa muda mfupi wa Yevgeny Prigozhin ulionekana kuwa changamoto kubwa zaidi kwa mamlaka ya Rais wa Urusi Vladimir Putin tangu aingie madarakani
Shirika la kutetea haki za binadamu la HRW lilisema kwamba vikosi vya Mali na wapiganaji wa kigeni waliwaua raia 300 huko Moura, katika kile ilichokiita “ukatili mmoja mbaya zaidi kuripotiwa”
Taifa hilo la Afrika Magharibi limekuwa likipambana na vuguvugu la wanajihadi lenye mafungamano na Al-Qaeda na kundi la Islamic State kwa takriban muongo mmoja.