Tunisia yaidhinisha katiba mpya baada ya watu wachache kujitokeza kupiga kura
Tunisia imeidhinisha katiba mpya inayotoa mamlaka makuu kwa ofisi ya Rais Kais Saied, bodi ya uchaguzi ilisema, baada ya kura ya maoni iliyokuwa na wapiga kura wachache kuunga mkono katiba hiyo mpya