Takriban watu 91 wauawa baada ya lori la mafuta kulipuka
Takriban watu 91 wameuawa na wengine 100 wamejerihiwa mjini Freetown Jumamosi baada ya lori la mafuta kulipuka baada ya kugongana…
Takriban watu 91 wameuawa na wengine 100 wamejerihiwa mjini Freetown Jumamosi baada ya lori la mafuta kulipuka baada ya kugongana…
Taifa la pili kwa udogo duniani, Monaco ina katiba fupi zaidi duniani. Katiba ya Monaco ilipitishwa mwaka wa 1911.
Dk Philip Mpango amesema mahakama za Afrika zinapaswa kuwa huru, zisizo na upendeleo na zenye kudhibiti rushwa
Mara nyingi kampuni zinazotoa huduma za mtandao haziwezi kukataa maagizo ya serikali zao kubana au kuzima mitandao.
Shahidi wa sita kutoka upande wa Jamhuri SSP Sebastian Madembwe, ametoa ushahidi wake mbele ya Jaji Joachim Tiganga.
Mapigano Ethiopia yamekuwa yakiendelea tangu Novemba 2020 na yamesababisha njaa kali na vifo vya takriban watu 400,000 kufikia sasa.
Mwaka wa 2014 visa 554 vya ukoma viliripotiwa na visa 629 kuripotiwa mwaka wa 629
Serikali ya Shirkisho imetangaza hali ya hatari itakayodumu kwa miezi sita huku Amerika ikiwataka waasi kutouteka mji wa Addis Ababa.
“We are on course to achieve our target of 100% use of clean energy by 2030 and to achieve 100% access to clean cooking by 2028,” President Kenyatta.
“In too many parts of the world, nature is already flipping from a carbon sink to a carbon source.”