Chombo cha kumsaidia mtu kujitoa uhai huenda kikaanza kuuzwa Switzerland
Kwa kubofya kitufe, chombo hicho hujaa gesi ya nitrojeni, ambayo hupunguza viwango vya oksijeni kwa haraka, na kusababisha mtumiaji wake kupoteza fahamu ndani ya dakika moja,
Kwa kubofya kitufe, chombo hicho hujaa gesi ya nitrojeni, ambayo hupunguza viwango vya oksijeni kwa haraka, na kusababisha mtumiaji wake kupoteza fahamu ndani ya dakika moja,
Visa 191 vya ugonjwa wa monkeypox vimeripotiwa ikiwemo vifo 24 vilivyoripotiwa tangu mwezi Septemba 27, 2021,
Tamasha hilo huwakaribisha wafugaji wenye ngamia warembo kushindana kwa zawadi ya kiasi cha £50m.