Dunia imerekodi idadi kubwa zaidi ya visa vya UVIKO 19 kwenye wiki moja
Zaidi ya visa milioni 6.5 vimeripotiwa kote duniani kati ya Desemba 22 na 28 2021
Zaidi ya visa milioni 6.5 vimeripotiwa kote duniani kati ya Desemba 22 na 28 2021
Tume hiyo ilipendekeza “kuwa Yahya Jammeh na wahusika wenzake wafunguliwe mashtaka katika mahakama ya kimataifa”
Rukirabashaija ni mkosoaji mkubwa wa serikali ya Rais Yoweri Museveni,Rukirabashaija ni mkosoaji mkubwa wa serikali ya Rais Yoweri Museveni, alipata sifa kwa riwaya yake ya kejeli ya mwaka 2020, “The Greedy Barbarian” ambayo inaelezea ufisadi wa hali ya juu katika nchi ya kubuni.