Sabaya akutwa na kesi ya kujibu
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewakuta na kesi ya kujibu Sabaya na wenzake sita katika kesi inayowakabili ya Uhujumu Uchumi
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewakuta na kesi ya kujibu Sabaya na wenzake sita katika kesi inayowakabili ya Uhujumu Uchumi
Mnamo tarehe 30 Novemba, wanajeshi wa Uganda walijiunga na wanajeshi wa Congo katika msako mkali dhidi ya ADF katika eneo la Beni.
Nchi hiyo ya Afrika Magharibi ina historia ndefu ya mapinduzi na inapambana na waasi wa kijihadi waliotokea nchi jirani ya Mali mwaka 2015.
Hali hiyo imetajwa kusababishwa na ukosekanaji wa maji na malisho uliovikumba vijiji vya wilaya hiyo.
Hii ni baada ya Mahakama kutoa uamuzi wa iwapo Sabaya na wenzake wanakesi ya kujibu au la