Burkina Faso: Waendesha mashtaka wataka kiongozi wa zamani Blaise Compaore afungwe miaka 30 jela kuhusiana na mauaji ya Sankara
Compaore anashtakiwa bila kuwepo mahakamani kwa tuhuma za kushambulia usalama wa serikali, kuficha maiti na kushiriki katika mauaji.