Lavrov: Tuko tayari kwa mazungumzo ikiwa jeshi la Ukraine litajisalimisha
Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov leo amesema kuwa Moscow iko tayari kwa mazungumzo ikiwa jeshi la Ukraine litajisalimisha, huku akisisitiza kuwa vikosi vya wavamizi vinalenga kuikomboa nchi hiyo kutoka kwa “ukandamizaji”.