Uvamizi wa Ukraine: athari zake za kisheria ni zipi?
ICJ ilisema Jumanne itafanya vikao kuhusu mauaji ya halaiki nchini Ukraine kati ya Machi 7 na 8
wordpress-seo
domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init
action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /home/mwanzotv/public_html/wp-includes/functions.php on line 6114ICJ ilisema Jumanne itafanya vikao kuhusu mauaji ya halaiki nchini Ukraine kati ya Machi 7 na 8
Afrika Kusini iliripoti karibu vifo 100,000 vilivyotokana na UVIKO 19, na zaidi ya kesi milioni 3.6 za maambukizi.
Hii ni kufuatia kuongezeka kwa mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine yaliyosababisha mahitaji makubwa ya kibinadamu baada ya huduma muhimu kuathirika na maelfu ya watu kufungasha virago kuzikimbia nyumba zao kwenda kusaka usalama.