Shambulizi laua wanajeshi 13 Burkina Faso
Taarifa ya Jeshi la Burkina Faso imesema Kikosi cha kijeshi kilichokuwa katika operesheni ya usalama katika eneo la Mashariki kilikabiliana na kundi la watu wenye silaha takriban kilomita ishirini mashariki mwa eneo la Natiaboani, jana Jumapili, Machi 20, 2022