March 2022
-

DR Congo: Ajali ya treni yasabisha vifo vya watu 75
Watu husafiri kwa treni za mizigo kinyume cha sheria mara kwa mara kwa sababu ya ukosefu wa treni za abiria na ugumu wa kusafiri kwa barabara.
-

Russian airstrike hits base in western Ukraine, kills 35
Russian fighters also fired at the airport in the western city of Ivano-Frankivsk, which is less than 150 kilometers (94 miles) north of Romania and 250 kilometers (155 miles) from Hungary, countries that also are…
-

Kimbunga chawaua watu wanane nchini Msumbiji
Kimbunga Gombe kilipiga mkoa wa Nampula usiku wa Alhamisi-Ijumaa kikiambatana na upepo mkali — kilitabiriwa kufikia kilomita 160 kwa saa (100 mph)
-

Mapigano mapya katika jimbo la Darfur nchini Sudan yasababisha vifo vya takriban watu 19
Mapigano mapya yaliyozuka Alhamisi yameshuhudia makundi yenye silaha yakipigana katika milima ya Jebel Moon katika jimbo la Darfur Magharibi
-

Zambia’s former president Rupiah Banda dies
Banda was born in the small town of Gwanda in neighbouring Zimbabwe.
-

Kenya yaondoa masharti ya kukabilina na UVIKO 19, ikiwemo kuvaa barakoa
Tangazo hilo linakuja wakati viwango vya maambukizi ya UVIKO-19 vikiwa vimepungua hadi asilimia moja au chini zaidi katika mwezi mmoja uliopita, Waziri wa Afya Mutahi Kagwe alisema.
-

Rais wa zamani wa Zambia,Rupiah Banda aaga dunia
Kiongozi wa nne wa nchi hiyo ya kusini mwa Afrika, alihudumu kwa miaka mitatu kuanzia 2008 – muda unaokumbukwa kwa ukuaji wa uchumi
-

Tanzania’s Opposition leader Freeman Mbowe
Mbowe was transferred to a prison in Dar es Salaam and charged with terrorism-related offences in a case that raised international concern.
-

Chelsea’s future is plunged into doubt
Chelsea have been given a special licence to continue to operate but nevertheless face tough restrictions.








