Maandamano ya kupinga ongezeko la bei za bidhaa muhimu lafanyika jijini Nairobi,Kenya
Kufikia mwisho wa Februari 2022, Wakenya milioni 3.1 kati ya milioni 47 walikuwa wanahitaji msaada wa chakula.
Kufikia mwisho wa Februari 2022, Wakenya milioni 3.1 kati ya milioni 47 walikuwa wanahitaji msaada wa chakula.
Wakenya hao wanatuhumiwa kumiliki mirungi hiyo na kuisafirisha kwenda maeneo mbalimbali ya Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro.
Dk Tulia amesema hayo leo bungeni jijini Dodoma huku akiwashauri viongozi wa Serikali nchi nzima isipokuwa wanaoruhusiwa kiitifaki, kufanya hivyo akisema kuwa utekelezaji wa agizo hilo utasaidia kubana matumizi ya mafuta ya Serikali.
Kaulimbiu ya mkutano huo mwaka huu ni, “Wajibu wa miji ya barani Afrika katika utekelezaji wa Ajenda ya Umoja wa Mataifa ya 2030 na Ajenda ya 2063 ya Umoja wa Afrika.
Maandamano yalifanyika siku chache baada ya mwanamke mwingine kushutumiwa kwa kukufuru na kuuawa na kundi la watu katika jimbo la Sokoto.
Kikosi cha kijeshi cha Mali kilisema kilizuia jaribio la mapinduzi wiki iliyopita lililoongozwa na maafisa wa jeshi na kuungwa mkono na nchi ya Magharibi
Rais Umaro Sissoco Embalo alivunja bunge la Guinea-Bissau na kusema uchaguzi wa mapema wa bunge utafanyika mwaka huu ili kutatua mzozo wa kisiasa uliodumu kwa muda mrefu.