May 20, 2022
-

Equatorial Guinea: Makumi ya wasichana waugua baada ya kupokea chanjo
Kulingana na mamlaka ya afya, kati ya wasichana 7,000 waliochanjwa nchini Equatorial Guinea wakati wa Wiki ya Chanjo kwa Afrika ni asilimia 1.4 tu wameathirika.
-

Rais Uhuru Kenyatta amemsimamisha kazi Jaji Said Juma Chitembwe.
Kuondolewa kwa jaji kunaweza tu kuanzishwa na JSC ikifanya kazi kwa hoja yake yenyewe au kwa ombi la mtu yeyote kwa tume.







