Tarehe muhimu katika miaka 70 ya uongozi wa Malkia Elizabeth II
Mnamo Februari 6, Malkia Elizabeth II anakuwa kiongozi wa kwanza katika historia ya Uingereza kutawala kwa miaka 70.
Mnamo Februari 6, Malkia Elizabeth II anakuwa kiongozi wa kwanza katika historia ya Uingereza kutawala kwa miaka 70.
Katika siku ya 100 ya uvamizi wa Urusi, mapigano yanaendelea katika eneo la mashariki, ambapo vikosi vya Moscow vinaimarisha udhibiti wake katika eneo la Donbas la Ukraine.
Miaka miwili kabla ya mapinduzi nchi hiyo ilishuhudia maandamano ya mara kwa mara dhidi ya mpango wa rais huyo wa zamani wa kutaka kuwania muhula wa tatu.
Akizungumza na waadishi wa habar leo jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Florence Khambi, amesema kufuatia upekuzi uliofanyika nyumbani kwa mtuhumiwa, paketi 162 zenye unga uliodhaniwa kuwa ni dawa za kulevya zilikutwa ndani ya viroba sita vilivyokuwa vimehifadhiwa chumbani kwa mtuhumiwa.
Watuhumiwa hao ni Emmanuel John (38), mfanyabiashara na mkazi wa Dar es Salaam, Stanley George (34), mbeba mizigo na mkazi wa Temeke, Dar es Salaam pamoja na Mussa Nasoro (35) Dereva na Mkazi wa Mbagala Dar es Salaam.