Watu wenye silaha wawateka nyara watawa wa Kikatoliki nchini Nigeria
Utekaji nyara unaofanywa na magenge ya wahalifu hutokea mara kwa mara katika nchi hiyo yenye watu wengi zaidi barani Afrika, lakini katika wiki za hivi karibuni waumini wa makanisa ya Kikristo wamezidi kulengwa.