Africa East Africa

Prof. Makubi: Bima ya Afya kwa wote itatoa fursa kwa Mtanzania kutibiwa hospitali yeyote

Prof. Makubi amesema hayo, alipofanya ziara ya kukagua hali ya utoaji huduma katika Hospitali ya Mkoa ya Amana, ambapo alipata fursa ya kuongea Waganga Wafawidhi wa Hospitali za Amana, Mwananyamala, Temeke, Tumbi, Mbagala Rangitatu, Kigamboni walioongozwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Rashid Mfaume na pamoja na kamati za usimamizi za afya za Halmashauri.