Raila Atangaza Rasmi Kuanzishwa Kwa Maandamano
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Bwana Raila Odinga ametangaza rasmi kuanzishwa kwa maandamano kuupinga utawala wa Rais William Ruto
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Bwana Raila Odinga ametangaza rasmi kuanzishwa kwa maandamano kuupinga utawala wa Rais William Ruto
Hakuna maelezo yaliyotolewa kuwa sababu ya kufukuzwa kazi kwa Mayiik Ayii Deng, ambayo ilitajwa katika matangazo ya runinga ya serikali.
Wanawake wamezindua kampeni inayofahamika kama #StainNotShame kama njia moja wapo ya kukomesha unyanyapaa dhidi ya hedhi
Tanzania held its first multi-party elections in 1995 and the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party has won every election since
Rais Samia ametoa kauli hiyo jana Jumatano, katika mkutano wa hadhara wa Siku ya Wanawake Duniani ulioandaliwa na chama kikuu cha upinzani kupitia baraza lake la wanawake wa CHADEMA, alisema nchi hiyo iko imara kiuchumi kuliko nchi nyingine yoyote ya Afrika Mashariki.