Maandamano makubwa yanayofanyika barani Afrika
Maandamano yaliyopangwa ya Azimio yanaambatana na angalau maonyesho mengine 4 ‘yanayofanana’ katika nchi 4 tofauti za Afrika
Maandamano yaliyopangwa ya Azimio yanaambatana na angalau maonyesho mengine 4 ‘yanayofanana’ katika nchi 4 tofauti za Afrika
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amewaonya wasoma mita za maji nchini kuacha tabia ya kuwabambikia wananchi bili kubwa za maji kwani hatua hiyo inaichafua serikali jambo ambalo halitovumilika.
Aidha taarifa hiyo imeeleza kuwa viongozi wote walioteuliwa katika nafasi mpya watajulishwa tarehe ya kuapishwa.
Serengeti kaskazini mwa Tanzania ni nyumbani kwa simba takriban 3,000, na ni maarufu kwa watalii wa ndani na nje ya nchi
Kupitia mtandao wake wa Twitter, Muhoozi alisema hivi karibuni atachukua msimamo kuhusu suala hilo
Serikali ya Marekani inasema TikTok lazima iuzwe la sivyo ikabiliwe na uwezekano wa kupigwa marufuku nchini humo, kwa mujibu wa ripoti.
Rais wa Malawi Lazarus Chakwera ametangaza siku kumi na nne za maombolezo ya kitaifa baada ya zaidi ya watu mia mbili ishirini kufariki dunia
Infantino pia ametangaza makadirio ya mapato ya dola bilioni 11 katika miaka minne hadi 2026, ikilinganishwa na $ 7.5 bilioni katika mzunguko wa miaka minne uliomalizika mnamo 2022
Kwa mujibu wa taarifa ya Daktari wa Mifugo wa wilaya hiyo Festo Mkomba imesema kuwa hatua hiyo imefikiwa baada ya hivi karibuni kujitokeza baadhi ya matukio yanayosababishwa na ugonjwa huo hivyo kwa mujibu wa sheria ya mifugo namba 16(2), 17 ya mwaka 2003 imembidi kutangaza kusitishwa kwa huduma hizo kuanzia sasa mpaka hapo itakapo tangazwa tena.
Taarifa iliyotolewa hivi karibuni kutoka NHIF, ilieleza kuwa mfuko huo unafanya maboresho ya usajili na huduma kwa watoto waliokuwa wanasajiliwa kupitia utaratibu wa Bima ya Afya ya ‘Toto Afya Kadi’, na kutoweka bayana ni muda gani utachukua kukamilika kwa maboresho hayo.