Afisa wa polisi amuua mpenzi wake, mke wa afisa mwenzake na kisha kujitoa uhai
Inadaiwa kuwa Mulanda aliondoka katika stesheni na kueleza wenzake anaelekea chumbani kwake kuchukua koti lake na alipofika kwa nyumba, ugomvi na mpenziwe ukaanza
Inadaiwa kuwa Mulanda aliondoka katika stesheni na kueleza wenzake anaelekea chumbani kwake kuchukua koti lake na alipofika kwa nyumba, ugomvi na mpenziwe ukaanza
Amrouche,58, amewai kuitia makali timu ya soka ya Burundi, Equatorial Guinea, Botswana, Libya na Yemen
Awali, kabla ya kutolewa kwa hukumu hiyo, mtoto huyo ambaye jina lake limehifadhiwa alieleza kuwa kila alipokuwa anakataa kufanyiwa kitendo hicho ,baba yake alikuwa anamng’ata na kumpiga sehemu za mwili wake na kumtishia.
Mwanasheria Fatma Karume ambaye anamwakilisha mchezaji Feisal Salum (Fei Toto) amesema kuwa wameiachia kamati itafakari upya maamuzi kuhusu mvutano wa…
Mkurugenzi wa Biashara ya Mafuta na Gesi kutoka TPDC Dkt. Wellington Hudson amesema, hivi karibuni kumekuwa na misururu mirefu ya magari kuingia kwenye vituo vya kujazia gesi baada ya kuwepo kwa idadi kubwa ya watumiaji huku kituo kimoja kikisitisha kutoa huduma kutokana na matengenezo.
Makamu wa Rais amesema hayo katika mji wa Baku nchini Azerbaijan, alipokuwa akihutubia mkutano wa nchi Zisizofungamana na Upande Wowote, mkutano uliolenga kujadili namna ya kukabiliana na athari za UVIKO – 19.
Uchaguzi wa Nigeria mara nyingi umekuwa na madai ya udanganyifu na ghasia
Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Benjamin Kuzaga amewaambia waandishi wa habari leo kuwa mwanafunzi huyo alifikia hatua ya kujitoa uhai baada ya kufokewa na wazazi wake.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, mara nyingi hulazimika kuwabadili viongozi mara kwa mara ili kuepusha madhara zaidi kwa Serikali na wananchi ambayo yangeweza kutokea.
Lema alikimbia Tanzania Novemba 2020, akiripoti vitisho vya maisha yake kufuatia uchaguzi uliokuwa na utata