Mbunge wa CCM aishauri Serikali kuongeza bei ya mafuta Dar
Mbunge wa jimbo la Ukonga mkoani Dar es Salaam, Jerry Silaa ameishauri Serikali iweke tozo ya shilingi 100 kwenye kila lita ya mafuta yanayonunuliwa mkoani Dar es Salaam, ili kupata pesa za kujenga barabara za mkoa huo.