Nyumba ya muhindi yabomolewa baada ya kumkojolea mwanakabila
Polisi wa eneo hilo walisema Shukla alikamatwa na kufunguliwa mashtaka kuhusiana na shambulio hilo, ambalo linaweza kumfanya atozwe faini na kufungwa jela mwaka mmoja.
Polisi wa eneo hilo walisema Shukla alikamatwa na kufunguliwa mashtaka kuhusiana na shambulio hilo, ambalo linaweza kumfanya atozwe faini na kufungwa jela mwaka mmoja.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tanzania Bara, Tundu Lissu amesema mifumo na viwango vya kodi inapaswa kuwa wazi ili anayelipa ajue analipa kiasi gani na anayekusanya ajue anakusanya kiasi gani.
Katika taarifa iliyotolewa jana na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imeeleza kuwa bei kikomo zinazoanza leo Julai 5, 2023 kuwa bei za rejareja za mafuta ya petroli na dizeli yaliyopokelewa kupitia Bandari ya Dar es Salaam zimeshuka kwa shilingi 137 kwa lita na shilingi 118 kwa lita, mtawalia ikilinganishwa na bei zilizotumika Juni.
Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Lumbira kata ya Luanda wilayani Mbozi mkoani Songwe,Japhari Mwashitete (16) amekutwa amefariki dunia kwa kujinyonga darasani huku kukiwa na ujumbe wa sababu ya kujinyonga ukieleza kuikataa shule hiyo.
Oil traders have been warned to observe the price limit
The third agreement signed is to strengthen relations between the European Union and Tanzania to increase efficiency in designing and managing projects funded by the European Union