Makonda aanza kazi kwa vijembe, awapa salamu vyama vya upinzani.
Makonda amewasili akiwa kwenye bodaboda kwa kile kilichodaiwa kuwa alishindwa kufika na gari lake kutokana na msongamano wa magari na umati wa watu uliojitokeza kwenye eneo la ofisi hiyo