Mashirka 16 ya Umma yaunganishwa,manne yafutwa
Serikali ya Tanzania imetangaza kuyaunganisha mashirika na taasisi 16 na kufuta mashirika na taasisi za umma nne, ili kuongeza tija katika utendaji kazi.
Serikali ya Tanzania imetangaza kuyaunganisha mashirika na taasisi 16 na kufuta mashirika na taasisi za umma nne, ili kuongeza tija katika utendaji kazi.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania January Makamba alitangaza Alhamisi Desemba 14, 2023 kuwa Serikali ya Israel iliwafahamisha kuwa Joshua Mollel, kijana wa Kitanzania aliyekuwa akisoma nchini Israel, aliuawa mara baada ya kuchukuliwa mateka na kundi la Hamas. tarehe 07 Oktoba 2023.
Mahakama Kuu ya Kanda ya Dar es Salaam jana Desemba 14,2023, ilibatilisha uamuzi wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) la kuwavua uanachama wabunge wa Viti Maalum, Halima Mdee na wenzake 18 ambao walituhumiwa kwenda Dodoma kuapishwa bila idhini ya chama hicho
Following the withdrawal of five candidates, including former Prime Minister Augustin Matata Ponyo, there are now 21 presidential candidates, including Mr Tshisekedi.
Ultimately Wu wants to build a fully realistic replica that behaves just like his dead son but dwells in virtual reality.
During a speech at the Kimalel Goat Auction and Cultural Festival in Baringo County,Ā Gachagua urged the public to go easy on Murkomen rubbishing calls of those asking him to resign laying the blame on the previous government of Uhuru Kenyatta.
Ghana’s inflation rate has fallen to its lowest in 19 months, standing at 26.4% in November compared to 35.2% in the previous month, the statistics service has said.
Clemence Mtenga and Joshua Mollel were the two students from Tanzania who went missing since the start of the fighting between Hamas and Israel
Mganga mkuu wa Serikali nchini Tanzania, Prof. Tumaini Nagu amewata wananchi kuzingatia kanuni za afya kwa kuzingatia usafi na kupata chanjo ya UVIKO 19 kwa ukamilifu ili kujikinga na magonjwa ya njia ya hewa ikiwemo mafua, kikohozi, kupumua kwa shida, kuwashwa koo, homa na kuumwa kichwa.Ā
“Bobi Wine: The People’s President”, a documentary which features the life of Uganda’sĀ National Unity Platform (NUP) party leaderĀ Robert Kyagulanyi hasĀ clinched the top award at the 39th International Documentary Association’s (IDA) Awards.