August 6, 2024

  • Watu Zaidi Ya 20 Wafariki Kufuatia Maporomoko Ya Majengo Sudan

    Watu Zaidi Ya 20 Wafariki Kufuatia Maporomoko Ya Majengo Sudan

    Watu zaidi ya 20 wameripotiwa kufariki dunia nchini Sudan, kufuatia mvua kubwa ambayo imesabab isha maporomoko ya majengo. Maafa hayo yanajiri wakati nchi hiyo ikikabiliwa na takriban miezi 16 ya mapigano kati ya vikosi hasimu…

  • Mwanamuziki Wa Wimbo Wa “Rafiki Pesa” Afariki Dunia

    Mwanamuziki Wa Wimbo Wa “Rafiki Pesa” Afariki Dunia

      Msanii nguli nchini Kenya, Shari Martin, aliyejulikana sana kwa wimbo wake wa “Rafiki Pesa,” amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 54. Shari Martin alifariki Agosti 2, 2024, akipokea matibabu katika Hospitali ya Kitaifa…

  • “Rafiki Pesa” Hitmaker Shari Martin Passes Away

    “Rafiki Pesa” Hitmaker Shari Martin Passes Away

      Kenya’s legendary artist behind the hit song “Rafiki Pesa,” Shari Martin, passes away on August 2, 2024, at the age of 54. Shari Martin was receiving treatment at Kenyatta National Hospital for pneumonia. His…

  • Kenya yatoa tahadhari kwa raia wake wanaoishi Uingereza

    Kenya yatoa tahadhari kwa raia wake wanaoishi Uingereza

    Ubalozi wa Kenya nchini Uingereza umewatahadharisha raia wake wanaoishi nchini humo kuchukua tahadhari na kufuata maelekezo yanayotolewa na serikali ya nchi hiyo. Kauli hii inafuatia maandamano yanayoendelea nchini humo yaliyoratibiwa na watu wa mrengo wa…