Rais wa Burundi atahadharisha vita vinavyoendelea Mashariki mwa DRC
Rais wa Burundi atoa onyo kuhusu vita vinavyoendelea Mashariki mwa DRC akisema kuwa vita hivyo vinaweza kusababisha vita vya kikanda.
Rais wa Burundi atoa onyo kuhusu vita vinavyoendelea Mashariki mwa DRC akisema kuwa vita hivyo vinaweza kusababisha vita vya kikanda.
Mkutano huo ulifanyika baada ya wanajeshi 16 kutoka Afrika Kusini na Malawi, pia wanachama wa SADC, kuuawa katika mapigano ya karibuni karibu na Goma, ambako walikuwa wamepelekwa kama sehemu ya juhudi za kudumisha amani.