Elimu ya Kidato cha nne ya Shahidi yazua mvutano kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu
Kesi hiyo ambayo ilianza kusikilizwa majira ya saa tatu asubuhi mbele ya jopo la majaji watatu likiongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru, Lissu aliendelea na zoezi la kumhoji kwa kina shahidi huyo wa pili wa upande wa mashtaka, akichambua maelezo yake ya polisi dhidi ya ushahidi alioutoa mahakamani wiki iliyopita.