Kesi ya Uhaini ya Lissu: Shahidi wa pili amaliza ushahidi, mtaalamu wa picha aanza kuhojiwa
Awali leo kabla ya kuendelea na shahidi wa tatu mahakamani Lissu ambaye anajitetea mwenyewe katika kesi hiyo alimalizia maswali ya dodoso ambayo kimsingi alizungumzia kuhusu picha mjongeo ama video ambayo abadaiwa kuochapisha.