Kenya yaepuka sitisho la viza za uhamiaji Marekani, Tanzania na Uganda zatajwa
Maafisa wa Marekani wanasema hatua hiyo inalenga kufanya upya ukaguzi wa taratibu za kuchuja na kuchunguza waombaji, wakisisitiza kuwa wahamiaji wapya wanapaswa kuwa na uwezo wa kujitegemea kifedha na kutoegemea msaada wa serikali